Binti Nguva episode 6

 Baba wa kina Alice alisimama kwa hasira, akitikisa kichwa huku macho yake yakiwa mekundu kama miali ya moto. Alirudi kukaa kwenye kiti chake kikubwa cha kifalme ndani ya kasiri lenye kuta za dhahabu , akiendelea kutazama kupitia darubini  ya  kichawi  inayomwonyesha

Post a Comment

0 Comments